Kuhusu mchezo
Kila mtu anaanza akiwa mdogo kwenye Snake 2077: Glitch War, na arena imejaa snakes ambazo zingependa kukugeuza loot. Chakula cha neon kinakufanya uwe mrefu. Ukiwa mrefu unaweza kuzunguka mtu na kumtazama akigonga mwili wako.
Kila bot ana personality yake, so mmoja anajificha kona na mwingine anakuja moja kwa moja. Boost ni kamari, kwa sababu speed inatoka kwenye urefu wako. Mpinzani akifa, unapata points kubwa na coins kutoka kwenye mabaki. Coins zinaenda kwenye skin collection.
Jinsi ya kucheza
- Desktop: mouse inaelekeza snake wako kule unakotaka kwenda. Shikilia left button kukimbia, na mwili wako unapungua ukiwa unafanya hivyo.
- Phone: tumia joystick ya screen kwa direction, kisha bonyeza button ya umeme kwa speed burst.
- Kula chakula cha neon ili ukue. Pita mbele ya snake nyingine ili ife, kisha kula kile kinachoachwa.
- Bure
- Hakuna download
- Inafanya kazi kwenye simu
















